Nahitaji scholarship masomo yanaanza septemba 2014

moto ya mbongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
484
Reaction score
337
Habari za leo wakuu
Mimi ni mtanzania ambaye niliomba nafasi ya masomo ya MSc in Public Relations-Full time katika chuo cha Queen Margaret University Edinburg kwa mwaka mmoja.Nafasi nimepata ikiwa na conditional offer na masomo yataanza Septemba 2014.Gharama za masomo ni Fee £ 10,420 na costs of living £ 9,050 bila kuhusisha usafiri wa kwenda huko.Sina ajira serikalini ambapo serikali ingeweza kunipa udhamini.Chuo kinahitaji pia niweke £ 1,000 au pesa yote ili wanitumie Certificate of acceptance of Study (CAS).Hali ya kiuchumi ya familia pia sio nzuri.
Naomba ushauri wenu, maelekezo au msaada wa udhamini ili niweze kwenda kuongeza elimu. Nakaribisha PM pia links,jinsi ya kufanya ili niweze kwenda kusoma.Nawasilisha
 
Duh! Huku kwetu uswazi ukisikia scholarship, tunajua ni masomo ambayo mtu unapata bahati ya kwenda kusomeshwa nje ya nchi kwa udhamini au msaada ya taasis au serikali. Sasa sina uhakika kama inawezekana mtu akakudhamini gharama zote hizo wakati elimu hiyo hiyo inapatikana hapahapa nchini kwa pungufu zaidi ya 90%!!! Labda tufunguane mawazo, kwanini iwe England wakati bado haujapata zali la scholarship?
 
Hata mimi nilikuwa nafikiria kama wewe mkuu, why spend all that money on a course ambayo ipo bongo ambayo inaweza kuwa more marketable than hiyo kuifuata huko UK. Kuchagua course za kufanya is one major reason why wabongo wengi wananyimwa visa US embassy. Huwezi kuomba visa kwenda US kusoma diploma au degree ambayo vyuo vya nyumbani ni bora kuliko huko unakotaka kwenda!
 
Habari za leo wakuu
Mimi ni mtanzania ambaye niliomba nafasi ya masomo ya MSc in Public Relations-Full time katika chuo cha Queen Margaret University Edinburg kwa mwaka mmoja.Nafasi nimepata ikiwa na conditional offer na masomo yataanza Septemba 2014.Gharama za masomo ni Fee £ 10,420 na costs of living £ 9,050 bila kuhusisha usafiri wa kwenda huko.Sina ajira serikalini ambapo serikali ingeweza kunipa udhamini.Chuo kinahitaji pia niweke £ 1,000 au pesa yote ili wanitumie Certificate of acceptance of Study (CAS).Hali ya kiuchumi ya familia pia sio nzuri.
Naomba ushauri wenu, maelekezo au msaada wa udhamini ili niweze kwenda kuongeza elimu. Nakaribisha PM pia links,jinsi ya kufanya ili niweze kwenda kusoma.Nawasilisha

Rudi kwanza kule ukajifunze kutofautisha kati ya sponsorship na scholarship!
 
Habari za leo wakuu
Mimi ni mtanzania ambaye niliomba nafasi ya masomo ya MSc in Public Relations-Full time katika chuo cha Queen Margaret University Edinburg kwa mwaka mmoja.Nafasi nimepata ikiwa na conditional offer na masomo yataanza Septemba 2014.Gharama za masomo ni Fee £ 10,420 na costs of living £ 9,050 bila kuhusisha usafiri wa kwenda huko.Sina ajira serikalini ambapo serikali ingeweza kunipa udhamini.Chuo kinahitaji pia niweke £ 1,000 au pesa yote ili wanitumie Certificate of acceptance of Study (CAS).Hali ya kiuchumi ya familia pia sio nzuri.
Naomba ushauri wenu, maelekezo au msaada wa udhamini ili niweze kwenda kuongeza elimu. Nakaribisha PM pia links,jinsi ya kufanya ili niweze kwenda kusoma.Nawasilisha

hongera kwa kupata hilo pande ila jaribu kuomba vya distance learning ada cyo kubwa euro 2000 tu
 
Likwanda sam2000 Manjagata MzeeMSASAMBEGU peter wa same Makamuzi Nilipoomba nafasi katika chuo hicho nilipata ila bado sijapata scholarship.Kuhusu kwanini nisisome Tanzania kwa gharama nafuu ni kwamba nimetoa kipaumbele cha kusoma nje shahada hiyo ya uzamili ambapo nitaweza kuwa safi zaidi kwani shahada ya kwanza nimesomea hapa Tanzania. Kuhusu kunyimwa visa ya kwenda kusoma UK naamini kama nikipata wataangalia sababu zinazonipeleka na sio kuninyima tu.

Naomba wenye links,maoni zaidi au jinsi gani nitafanya wazidi kutoa mawazo yao.Na nawashukuru kwa kusoma na wengine mliochangia na mtakaoendelea kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
@Likwanda sam2000 Manjagata MzeeMSASAMBEGU peter wa same Makamuzi Nilipoomba nafasi katika chuo hicho nilipata ila bado sijapata scholarship.Kuhusu kwanini nisisome Tanzania kwa gharama nafuu ni kwamba nimetoa kipaumbele cha kusoma nje shahada hiyo ya uzamili ambapo nitaweza kuwa safi zaidi kwani shahada ya kwanza nimesomea hapa Tanzania. Kuhusu kunyimwa visa ya kwenda kusoma UK naamini kama nikipata wataangalia sababu zinazonipeleka na sio kuninyima tu.

Naomba wenye links,maoni zaidi au jinsi gani nitafanya wazidi kutoa mawazo yao.Na nawashukuru kwa kusoma na wengine mliochangia na mtakaoendelea kuchangia.

Good lucky mkuu but be prepared, this gonna be a tough ride!
 
Mkuu kupata hiyo kitu unaweza ila ngumu sana. Hasa kwa hizo kozi ambazo sio priority kwa sponsors wengi. Lakini swali moja 'unataka usome masters what for?'
 
Try to google for "commonwealth scholarships". Kama ukikosa institutional scholarship nakushauri achana na hiyo kitu kwa roho safi kabisa maana naona hizo gharama ni kubwa sana for an individual person to be willing to sponsor you (over 48 Million for one year studentship!!!).
 
Habari za leo wakuu
Mimi ni mtanzania ambaye niliomba nafasi ya masomo ya MSc in Public Relations-Full time katika chuo cha Queen Margaret University Edinburg kwa mwaka mmoja.Nafasi nimepata ikiwa na conditional offer na masomo yataanza Septemba 2014.Gharama za masomo ni Fee £ 10,420 na costs of living £ 9,050 bila kuhusisha usafiri wa kwenda huko.Sina ajira serikalini ambapo serikali ingeweza kunipa udhamini.Chuo kinahitaji pia niweke £ 1,000 au pesa yote ili wanitumie Certificate of acceptance of Study (CAS).Hali ya kiuchumi ya familia pia sio nzuri.
Naomba ushauri wenu, maelekezo au msaada wa udhamini ili niweze kwenda kuongeza elimu. Nakaribisha PM pia links,jinsi ya kufanya ili niweze kwenda kusoma.Nawasilisha

Hongera na pole sana dada yangu.Hiyo kazi niliifanya kipindi fulani na kiukweli ni ngumu sana,sitaki kukukatisha tamaa ila ndio ukweli.Kupata admission ya chuo sio ishu lakini ni moja ya kigezo cha kwanza cha scholarship nyingi.

scholarship nyingi hutolewa kwa wadada lakini nyingi huwa kwa program maalumu zinazohusu gender na sociology,pia nchi nyingi huwa wanataka usome kwenye vyuo vya nchini kwao,kwahiyo kwakua umepata chuo UK basi nenda British council watakupa info za scholarship.Cheki pia ubalozi wa uholanzi,Japan na china huwa wanatoa scholarship kila mwaka,ila hao itabidi usome vyuo vya nchini kwao na huwa zina ushindani.Scolarship ya uhakika ni ya Ubalozi wa India maana huwa wanatoa nafasi nyingi kwa mwaka na kozi yoyote unayotaka pia hawana masharti mengi.Cheki na hii inaitwa Erasmus Mundus,just google and read the conditions you can try that one too

Ulizia wizara ya sayansi na teknolojia na wizara ya elimu pia.Kunakuwa na scholarship japo huwa zinatolewa kwa upendeleo but jarubu bahati yako

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom