Nahitaji sehemu salama ya kuweka pesa kwa kupata riba inayoendana na thamani ya pesa

Nahitaji sehemu salama ya kuweka pesa kwa kupata riba inayoendana na thamani ya pesa

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nina pesa kiasi fulani.

Sitaki kufanya biashara wala kuziweka kwenye benki kwenye akaunti za kawaida za kutunza pesa.

Nimefuatilia benki kadhaa kwa nia ya kuweka "Fixed deposit" lakini riba zao ni ndogo mno.

Naomba ushauri/maelekezo.
 
Trh 4/9/2022 itakua Jumapili

Man United v Arsenal

Chukua hicho kibunda mwekee Arsenal kisha subiria maajabu

Arsenal yupo kileleni

Utanishukuru
 
Fuatilia hao UTT,nasikia wanatoa asilimia 12 kama faida
 
Back
Top Bottom