Yohana Daniel
Member
- Mar 18, 2018
- 63
- 33
Ndio kashamaliza hivyo..Hivyo tu??? kuwa serious basi....
Naamini wapo man hujawahi sikia ma single mother wapo wakutosha tuuMwanamke gani asiyejiuza anaye weza kuwa kwenye mapenzi ambayo sio serious?? What for yani??
Noma sanaDunia inaenda kasi sana..
Yeah nimekupata swala la wivu hapo halitakuwepo kabisa maybe kama tumezoena sana na nikiona tunaenda kuzoena sana napita hiviNi vizuri kwenda straight kama hivi ila Weka na taratibu na gharama za kufanya ngono zitakuwa kwa nani maana lile tendo lina gharama sehemu ya tukio, usafiri, chakula Condom ikapasuka gharama za kuzuia mimba n.k. Na jingine la muhimu, utatumia mbinu gani kupigana na wivu, Mfano umempigia sex partner wako kapokea akiwa busy kumpa mwanamume mwenzako anachokupa wewe na huwezi kuwa naye siku hiyo.......
Ili ufanikiwe utajikuta gharama ni kubwa bora kutongoza awe wako au ununue. Kumbuka hamuwezi kupimana kila mkikutana, mkishazoeana condom utasahau na hutampima mwishowe utaanza kurisk kwa ajili yake na kuwa tayari kwa lolote na hapo ndipo utakuwa ukisikia kuna mwingine unaanza kuumia wakati ni sex partner.
Gharama hizo ndogo ndogo zote kwanguUkipata hela unistue nikupe nikuunganishe na watu wa hivo unaowataka
Maana ungekuwa nazo uaingehangaika hivi
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Nitakuja inbox yakoUkipata hela unistue nikupe nikuunganishe na watu wa hivo unaowataka
Maana ungekuwa nazo uaingehangaika hivi
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
🤔🤔 waivyo lsbda umzae mwenyewHabari za uzima wapendwa natumai ni wazima wa Afya
Rejea mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwa ajili ya kusex tuu no serious relationship maana nipo busy kutafuta pesa na sitaki mwanamke anaejiuza nataka ambaye nae yupo busy na mambo yake ila tusaidiane kuepuka madhara ya punyeto.
Taratibu zote za kiafya zitafuatwa kwa vipimo thabiti vya kiafya baina yangu na yeye najua inawezekana kama utapendezwa inbox me please am straight sihiitaji mapunga tafadhali
Uzi ulitakiwa uishie hapa, mkuu umeupiga mwingi sana[emoji122][emoji122]Ni vizuri kwenda straight kama hivi ila Weka na taratibu na gharama za kufanya ngono zitakuwa kwa nani maana lile tendo lina gharama sehemu ya tukio, usafiri, chakula Condom ikapasuka gharama za kuzuia mimba n.k. Na jingine la muhimu, utatumia mbinu gani kupigana na wivu, Mfano umempigia sex partner wako kapokea akiwa busy kumpa mwanamume mwenzako anachokupa wewe na huwezi kuwa naye siku hiyo.......
Ili ufanikiwe utajikuta gharama ni kubwa bora kutongoza awe wako au ununue. Kumbuka hamuwezi kupimana kila mkikutana, mkishazoeana condom utasahau na hutampima mwishowe utaanza kurisk kwa ajili yake na kuwa tayari kwa lolote na hapo ndipo utakuwa ukisikia kuna mwingine unaanza kuumia wakati ni sex partner.
Hahahahah,ulikuaa unataka vigezo gani viongezeke bibie? Sio hela kweli,,🤣Hivyo tu??? kuwa serious basi....