Nahitaji shamba la kulima Mahindi Mkoani Katavi

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,194
Reaction score
7,602
Wakuu salama.

Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama.

Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele

Shamba la karibu na mto itapendza zaidi.

Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote.
Leteni offa.
 
Ukifanikiwa uulete mrejesho!
 
Wakuu salama.

Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama.

Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele

Shamba la karibu na mto itapendza zaidi.

Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote.
Leteni offa.
Utakuwa umechelewa, jipange kwa mwakani. Tanganyika sasa hivi ekari inauzwa kati ya Tzs 250k na 300k hii ni baada ya Wasukuma kuvamia Katavi. Maeneo mengi bado yana miti mikubwa hivyo kusafisha inahitaji nguvu kubwa na iwe operesheni ya muda mrefu. Angalau ukawa na uwezo wa kusafisha ekari 5 au 10 kila mwaka! Tanganyika ndiko kwenye mahindi tofauti na Mlele!
 
Nahitaji tuwasiliane inbox kama hutojali
 
Back
Top Bottom