Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Asante mkuuKila la heri
Ukifanikiwa uulete mrejesho!Wakuu salama.
Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama.
Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele
Shamba la karibu na mto itapendza zaidi.
Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote.
Leteni offa.
Wapo kimya mkuu sijui shida niniUkifanikiwa uulete mrejesho!
Utakuwa umechelewa, jipange kwa mwakani. Tanganyika sasa hivi ekari inauzwa kati ya Tzs 250k na 300k hii ni baada ya Wasukuma kuvamia Katavi. Maeneo mengi bado yana miti mikubwa hivyo kusafisha inahitaji nguvu kubwa na iwe operesheni ya muda mrefu. Angalau ukawa na uwezo wa kusafisha ekari 5 au 10 kila mwaka! Tanganyika ndiko kwenye mahindi tofauti na Mlele!Wakuu salama.
Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama.
Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele
Shamba la karibu na mto itapendza zaidi.
Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote.
Leteni offa.
Nahitaji tuwasiliane inbox kama hutojaliUtakuwa umechelewa, jipange kwa mwakani. Tanganyika sasa hivi ekari inauzwa kati ya Tzs 250k na 300k hii ni baada ya Wasukuma kuvamia Katavi. Maeneo mengi bado yana miti mikubwa hivyo kusafisha inahitaji nguvu kubwa na iwe operesheni ya muda mrefu. Angalau ukawa na uwezo wa kusafisha ekari 5 au 10 kila mwaka! Tanganyika ndiko kwenye mahindi tofauti na Mlele!