Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza

Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu wakuu,

Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza nijuwe ukubwa na bei. Unaweza nijibu hapo or kwa private.

Nashukuru
 
Mi ninalo nauza Ila lipo machemba jirani na kilapula.

Njia kuu ya kuingilia ni idara ya maji ni km Moja na nusu kutoka lami na maji na umeme vipo karibu. Heka zipo tano kila heka million tano. Eneo limepimwa sababu nilinunua kwa ajili ya utanuzi wa shule yangu Ila nilipohama kikazi na wazo nikalihamisha.

Tuyajenge kama utahitaji.
 
Back
Top Bottom