Mi ninalo nauza Ila lipo machemba jirani na kilapula.
Njia kuu ya kuingilia ni idara ya maji ni km Moja na nusu kutoka lami na maji na umeme vipo karibu. Heka zipo tano kila heka million tano. Eneo limepimwa sababu nilinunua kwa ajili ya utanuzi wa shule yangu Ila nilipohama kikazi na wazo nikalihamisha.