Nahitaji Shoo ya Toyota Nadia

Nahitaji Shoo ya Toyota Nadia

Hakuga

Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
29
Reaction score
31
wakuu salama? nahitaji shoo ya nadia .. hicho kipande cheusi chenye logo ya toyota.. niko tanga . huku nimekosa. naomba connection ya huko town kama kuna mtu anauza ili tuwasiliane ninunue.whatsap 0674 149565.
1920453365.jpg
 
Hivi hizi Gari bado zipo,nenda ila utapata bila shaka pale karibu na gerezani
 
Hivi hizi Gari bado zipo,nenda ila utapata bila shaka pale karibu na gerezani
Hzo huko mikoan ni kama harrier tako la nyani.. unachkua madem balaaa.. hahaha

Watu wa mikoan oyeee
 
Back
Top Bottom