Nahitaji Shule ya kufundisha kwa kujitolea

Nahitaji Shule ya kufundisha kwa kujitolea

Hassan Enzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
207
Reaction score
53
Natafuta shule ya KUJITOLEA nafundisha masomo yote ya shule za msingi.

Pawepo na angalau ya maji. Mana kitaa kinachosha
 
Natafuta shule ya KUJITOLEA nafundisha masomo yote ya shule za msingi
Pawepo na angalau ya maji. Mana kitaa kinachosha
Kama unafundisha English njoo hapa Temeke secondary school wanahitaji Mwl wa kujitolea
 
Back
Top Bottom