malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Kwa budget hiyo nitapata simu ya aina Gani nzuri yenye camera ang'avu quality, betri yake itakayokaa na chaji muda mrefu, na storage yake capacity nzuri
sidhani kama mtoa mada ni mwanamke kama weweUkienda Makumbusho unapata Iphone 16 pro GB 256…
Wafuga ndevu wale wataniigiza mjiniUkienda Makumbusho unapata Iphone 16 pro GB 256…
Ya kichina?Kwa sababu huwezi pata original kwa bei hiyo.Ukienda Makumbusho unapata Iphone 16 pro GB 256…
Niko daslamUko wapi mkuu
Karibu mjiniNiko daslam
Inauzwa shingap A25Samsung A25 itakufaa sana ukikosa chukua galaxy A15 4g
Wap ntapata. Fullbox mpya kwa daslam,maana watu wakariakoo nawaogopa sana wanaweza uzia refurshide,au karaiko wapo wanauza brand newSamsung A25 itakufaa sana ukikosa chukua galaxy A15 4g
Hizo ni simu zimetoka mwaka jana bado mpya zitaanza kuuzwa mitumba labda miaka mitatu mbele kwa sasa hakuna refub zake wala used so ingia kkoo madukani ujibebee mpya full boxWap ntapata. Fullbox mpya kwa daslam,maana watu wakariakoo nawaogopa sana wanaweza uzia refurshide,au karaiko wapo wanauza brand new
500k - 600kInauzwa shingap A25
Ulivo na hofu lazima upigwe LeoNiko daslam
SAMSUNG BRAND NEWInauzwa shingap A25
Bei zako ziko fair sana, huna tamaaSAMSUNG BRAND NEW
↗️A05 (4+64) Tsh 240,000//=
↗️A06(4+64) Tsh 270,000//=
↗️A06(4+128) Tsh 300,000//=
↗️A05s (4+64) Tsh 320,000//=
↗️A05s (4+128) Tsh 360,000//=
↗️A16(128+4) Tsh 380,000//=
↗️A16(128+6) Tsh 420,000//=
↗️A16(256+8) Tsh 580,000//=
↗️A25 5G (6+128) Tsh 630,000//=
↗️A25 5G (8+256) Tsh 690,000//=
↗️A26 5G. (6+128) Tsh 720,000//=
↗️A26 5G (8+256) Tsh 820,000//=
↗️A35 5G (6+128)Tsh 730,000//=
↗️A35 5G (8+256) Tsh 890,000//=
↗️A36 5G (6+128) Tsh 870,000//=
↗️A36 5G (8+256) Tsh 920,000//=
↗️A55 5G (8+128) Tsh 890,000//=
↗️A55 5G (8+256) Tsh 990,000//=
↗️A56 5G (8+128) Tsh 1,050,000//=
↗️A56 5G. (8+256)Tsh 1,150,000//=
Bei za rejareja Leo
Jumla añzia pc 5
Kuna mkeka wake
Kwakweli Hana tamaa huyuBei zako ziko fair sana, huna tamaa
Na hapo kuna discountKwakweli Hana tamaa huyu
Na hapo kuna discount nikimpendaBei zako ziko fair sana, huna tamaa