Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu
Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia 5000 mAh ila hata kam ni chini ya hapo lakn inauwezo wa kukaa na chaji.
Pia kama unaushauri wowote kuhusu ni lipi chaguo zuri una uhuru kutoa ushauri... budget yangu 250k