Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Kwa hizo specs na budget yako.. haziendani mkuu.. kupata simu yenye hizo spec nakushauri uwe na budget kuanzia 400k au lasivyo upunguze baadhi ya spec na upate simu used.Jamaan wadau wa humu jf jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu
Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia 5000 mAh ila hata kam ni chini ya hapo lakn inauwezo wa kukaa na chaji.
Pia kam unaushauri wowote kuhusu ni lipi chaguo zuri una uhuru kutoa ushauri ...budget yangu 250k
Ahsante mkuu kwa ushauri wako mzuri ila Mkuu naomb kuulza kam nkiwa na hy 400k unanishaur nchukue aina gan yaan upande wa kutunza chaji na vingne nlvyovitaja angalau kwa storage ianzie 64GB?Kwa hizo specs na budget yako.. haziendani mkuu.. kupata simu yenye hizo spec nakushauri uwe na budget kuanzia 400k au lasivyo upunguze baadhi ya spec na upate simu used.
Ukitaka simu yenye betri nzuri 5000mah kwa 250k basi itakuwa camera ya kawaida sana na pia specs (processor) zake ni zile simu ambazo hazidumu kama tecno, infinix e.tc
Ila unaweza pata simu yenye camera nzuri, 64 GB, uwezo mzuri sana (processor)unaweza dumu nayo muda ila betri kipengele around 2800 mah.. kama google pixel 2XL, pixel 3 au pixel 3a used around hiyo budget yako unaweza pata.
Redmi note 11Ahsante mkuu kwa ushauri wako mzuri ila Mkuu naomb kuulza kam nkiwa na hy 400k unanishaur nchukue aina gan yaan upande wa kutunza chaji na vingne nlvyovitaja angalau kwa storage ianzie 64GB?
Kwa budget ya 250k?Tafuta simu inaitwa Xiaomi Redmi 9,nzuri sana inakaa na charge, camera nzuri, gb64 na ram 4gb
Hyo ni nzur ila bora achkue note 11 man ndo imeboreshwa zaid na nahis ndo simu bora kwa simu zenye badget chini ya 500kTafuta simu inaitwa Xiaomi Redmi 9,nzuri sana inakaa na charge, camera nzuri, gb64 na ram 4gb
sahh asee kuanzia 400 na upuuz ndo angalau anaweza kupata simu yenye hvo vigezo vyake ila chin ya hapo hapn labd apate used tu kwa mtu na ambayo haina hali nzurKwa budget ya 250k?
Ahsante mkuu kwa chaguzi zako nahc una uzoefu wa hz simu ulizoniambiaRedmi note 11
Samsung a13
ahsante mkuu kwa ushaur wako ila hy note 11 naweza kupata kwa bei gan ili nijue natafuta kiasi flan cha pesaHyo ni nzur ila bora achkue note 11 man ndo imeboreshwa zaid na nahis ndo simu bora kwa simu zenye badget chini ya 500k
Kwenye 400k niongeze ngapi mkuusahh asee kuanzia 400 na upuuz ndo angalau anaweza kupata simu yenye hvo vigezo vyake ila chin ya hapo hapn labd apate used tu kwa mtu na ambayo haina hali nzur
Sawa mkuu ila naomb mwongozo kabla ya yoteNenda Aliexpress utapaata
Note 11 redmi nahis ipo kwenye 475Kwenye 400k niongeze ngapi mkuu
Sawa mkuu kwa dsm sehem gani maan kuna sehemu zingne wanakuw na tabia ya kuchezesha motherboardNote 11 redmi nahis ipo kwenye 475
Samsung a13 450 jpo hzo bei nahis unaweza ukaongea nao wakakupunguzia
Sawa mkuuTafuta simu inaitwa Xiaomi Redmi 9,nzuri sana inakaa na charge, camera nzuri, gb64 na ram 4gb
Kariakoo jengo la infinix pale utazipataSawa mkuu kwa dsm sehem gani maan kuna sehemu zingne wanakuw na tabia ya kuchezesha motherboard
Ahsante mkuuKariakoo jengo la infinix pale utazipata
Nipe hio 250,000 nikuachie tecno yangu.Ahsante mkuu kwa ushauri wako mzuri ila Mkuu naomb kuulza kam nkiwa na hy 400k unanishaur nchukue aina gan yaan upande wa kutunza chaji na vingne nlvyovitaja angalau kwa storage ianzie 64GB?