Kwa hizo specs na budget yako.. haziendani mkuu.. kupata simu yenye hizo spec nakushauri uwe na budget kuanzia 400k au lasivyo upunguze baadhi ya spec na upate simu used.
Ukitaka simu yenye betri nzuri 5000mah kwa 250k basi itakuwa camera ya kawaida sana na pia specs (processor) zake ni zile simu ambazo hazidumu kama tecno, infinix e.tc
Ila unaweza pata simu yenye camera nzuri, 64 GB, uwezo mzuri sana (processor)unaweza dumu nayo muda ila betri kipengele around 2800 mah.. kama google pixel 2XL, pixel 3 au pixel 3a used around hiyo budget yako unaweza pata.