Nahitaji Single Mother tu

Anajichimbia mwenyewe sio!

Sina nia ya kumsimanga mtu ila walio wengi wa hao singo maza, kiukweli ni "sikio la kufa".

Turudi kwa mwamba, 5.68ft, 73-76kg, at 33 y.o unafikiaje hiyo weight kwa hiyo height? Body builder?
Kushauri watu sahivi tumeacha. Tunaanza biashara ya majeneza.
 
Mkuu, Mtu mzima anahitaji wembe maswali mengi ya kazi gani?
Narudia tena waniache tena waniache kabisa
Msaada pekee ni kumsogeza hapa kwa fasi unaemuona anafit hapo..
Hayo mengine tutajuana wawili tu..
Nataka nijifungie na black mamba kwenye chumba kimoja nione kitatokea nini?
Utafiti hauishi na hautokaa uishe kamwe japo muda mwingine mtafiti hupoteza maisha lakini utafiti hauishi..
 
Reactions: Tsh
Single maza mtetezi wenu kafika. Inabidi na ww Waziri Gwajima akupe tuzo yako ya kuwaheshimisha single maza
 
Kwasababu unajua singo maza ni cheap hawajitambui wapowapo tu... Mwanaume rijali unaoa singo maza huna akili?
Mkuu mimi akili sina naomba uniazime za kwako kama unaona zangu ni kiduchu..
Note sijaona mtu aliyesema yuko tayari kuja pm..zaidi ya mipondo buku
 
Anajichimbia mwenyewe sio!

Sina nia ya kumsimanga mtu ila walio wengi wa hao singo maza, kiukweli ni "sikio la kufa".

Turudi kwa mwamba, 5.68ft, 73-76kg, at 33 y.o unafikiaje hiyo weight kwa hiyo height? Body builder?
Weight inakushangaza eti?
 
Sasa babe ukiacha hizo nguvu za kiume kiasi na sura ya mama, ni nini kingine unacho?
 
Umesema uko wapi?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…