Nahitaji Single Mother tu

Nahitaji Single Mother tu

Anajichimbia mwenyewe sio!

Sina nia ya kumsimanga mtu ila walio wengi wa hao singo maza, kiukweli ni "sikio la kufa".

Turudi kwa mwamba, 5.68ft, 73-76kg, at 33 y.o unafikiaje hiyo weight kwa hiyo height? Body builder?
Kushauri watu sahivi tumeacha. Tunaanza biashara ya majeneza.
 
Mkuu, Mtu mzima anahitaji wembe maswali mengi ya kazi gani?
Narudia tena waniache tena waniache kabisa
Msaada pekee ni kumsogeza hapa kwa fasi unaemuona anafit hapo..
Hayo mengine tutajuana wawili tu..
Nataka nijifungie na black mamba kwenye chumba kimoja nione kitatokea nini?
Utafiti hauishi na hautokaa uishe kamwe japo muda mwingine mtafiti hupoteza maisha lakini utafiti hauishi..
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Single maza mtetezi wenu kafika. Inabidi na ww Waziri Gwajima akupe tuzo yako ya kuwaheshimisha single maza
 
Kwasababu unajua singo maza ni cheap hawajitambui wapowapo tu... Mwanaume rijali unaoa singo maza huna akili?
Mkuu mimi akili sina naomba uniazime za kwako kama unaona zangu ni kiduchu..
Note sijaona mtu aliyesema yuko tayari kuja pm..zaidi ya mipondo buku
 
Anajichimbia mwenyewe sio!

Sina nia ya kumsimanga mtu ila walio wengi wa hao singo maza, kiukweli ni "sikio la kufa".

Turudi kwa mwamba, 5.68ft, 73-76kg, at 33 y.o unafikiaje hiyo weight kwa hiyo height? Body builder?
Weight inakushangaza eti?
 
Sasa babe ukiacha hizo nguvu za kiume kiasi na sura ya mama, ni nini kingine unacho?
 
Nahitaji mwanamke wa kuishi nae, ambae tayari kashazaa.

Awe na umri kati ya 23-27yrs.
Mtoto awe mmoja tu.
Kabila, awe katika lolote kati ya haya,
Mnyamwezi -Tabora, Nandi from Kenya, Tutsi from Rwanda, Mdigo -Tanga, Mrangi- Dodoma, Mkerewe-Mwanza, Msukuma -Geita.

Rangi, awe mweusi asilia ambae hajaharibu rangi kwa vipodozi,
Akiwa mweupe basi iwe ni asilia sio yule aliyeongezea kwa kujikrimu..
Asiwe na malengo ya kuzaa watoto zaidi ya watatu na huyo wa kwake akiwemo.
Yaani awe tayari kunizalia watoto wawili tu sio zaidi ya hapo.
Asiwe mbabe na wa kupayuka payuka hovyo...

Urefu uwe wa wastani asizidi futi sita na asipungue futi tano.
Asiwe na uzazi wa shida yaani eti mpaka operation ndio tupate mtoto.

Asiwe na tatizo sugu la kuumwa magonjwa ya tumbo.. maana yake either katoa mimba ama katumia sana uzazi wa mpango.

Sipo tayari kusajili mgonjwa wa kudumu
Badala ya kuwa na marafiki wengi wafanyabiashara kwenye simu najikuta nakuwa na marafiki madokta..
Na hao wote hakuna anaenipa pesa bali mimi ndie nawapa pesa sipo tayari kwa hilo tafadhali.

Umbo,,
Awe na mzigo wa haja kwa nyuma na hips zilizojaa vyema awe asilia.
Sitaki mabonge wala ndugu yake chibonge.
Kilo asiwe na zaidi ya 66kg.

Nywele, akiwa na nywele fupi haizuiliwi but akiwa na usinga wake hadi mgongoni inapendeza zaidi..
Lugha,, Kiswahili ama Kiingereza.

Wasifu wangu,,
Mwanaume mwenye nguvu kiasi za kiume..

Miaka 33.
Kabila, Mkurya.
Rangi chocolate.
Urefu, futi 5.68.

Aina ya nywele, Kipara.
Umbile, semi slim.

Sura, nina sura ya mama na ya baba nusu kwa nusu. Sura mviringo with brighter smile. Macho yenye nuru angavu.
Addiction, situmii kilevi wala sigara bali napendelea kutoka na kula vizuri..
Uzito,, 73 kg but huwa nashoot hadi 76.

Aliye tayari na anafiti aje pm tafadhali.
Thanks..
Umesema uko wapi?!!
 
Back
Top Bottom