Nahitaji single mother

Nahitaji single mother

NAMTAKA SINGO MAZA

1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana
Hatusikizi akwami, wawili tukipendana
Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

3 Kapita mingi mishale, hataogopa umande
Ajua haya na yale, kwa juhudi ajipinde
Mjuzi mambo ya kale, kucheza ngoma sikinde
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

4 Asiwe mwingi wa wana, hapo hapatanifaa
Ukimwona kama mwana, hutadhani kashazaa
Awe mmoja wa ujana, ndoa tutaiandaa
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

[emoji3578]Abuuabdillah
Whatsapp 0744883353
Kilimanjaro
Changamoto ya afya ya akili ni kubwa.
 
✍️Abuuabdillah
Whatsapp 0744883353
Kilimanjaro
Hahahahaaa jmn ,kwamba asiwe mwingi wa Wana🤣 nawewe usiwe mchache wa dollari
 
NAMTAKA SINGO MAZA

1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana
Hatusikizi akwami, wawili tukipendana
Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

3 Kapita mingi mishale, hataogopa umande
Ajua haya na yale, kwa juhudi ajipinde
Mjuzi mambo ya kale, kucheza ngoma sikinde
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

4 Asiwe mwingi wa wana, hapo hapatanifaa
Ukimwona kama mwana, hutadhani kashazaa
Awe mmoja wa ujana, ndoa tutaiandaa
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

✍️Abuuabdillah
Whatsapp 0744883353
Kilimanjaro
Kama ni wa KURANDANA aje ashushe naye mashairi yake hapa
Sie Majaji tulinganishe vina na mizani tutangaze mshindi......Kazi iendelee.
 
NAMTAKA SINGO MAZA

1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

2 Aloumizwa ja mimi, huenda tukalandana
Hatusikizi akwami, wawili tukipendana
Tukuze wetu uchumi, mawazo kuliwazana
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

3 Kapita mingi mishale, hataogopa umande
Ajua haya na yale, kwa juhudi ajipinde
Mjuzi mambo ya kale, kucheza ngoma sikinde
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

4 Asiwe mwingi wa wana, hapo hapatanifaa
Ukimwona kama mwana, hutadhani kashazaa
Awe mmoja wa ujana, ndoa tutaiandaa
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa

✍️Abuuabdillah
Whatsapp 0744883353
Kilimanjaro
Mistari🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom