Kama una mawazo punguza kuwaza, otherwise utajikuta umedevelop tolerance ya hizo dawa!Habarini.
Nina Insomnia - hali ya kukosa usingizi.
Ni wapi naweza pata hivi vidonge au kitu cha aina hio?
Shukran.
dah!Umewahi sikia habari za Yesu Mnazareti?? Isaya alimwona kama mfalme wa amani yaani Prince of Peace. Huyu ni zaidi ya kidonge cha usingizi. Nipo sirius wala sikutanii. Mjaribu leo na saa hii wala hutaweza kujitambua hadi asubuhi.
Huyo ni kiboko ya mawazo kwani aliwauliza wanafunzi wake; Ni nani kwenu amewaza hata akajiongezea nukta ya urefu wake?? Jibu ni; Hakuna. Basi usisumbukie kesho, ya leo yanatosha acha kesho ijisumbukie yenyewe.
Ni kaushauri tu ila hebu jaribu au njoo PM unipe namba zako nakuhakikishia nisemayo ndio kweli kwani baada tu ya maombi utalala usingizi ambao hujawahi lala tena
Kutumia dawa sio vzur Sana maana italeta addiction.Habarini.
Nina Insomnia - hali ya kukosa usingizi.
Ni wapi naweza pata hivi vidonge au kitu cha aina hio?
Shukran.
nitakitafuta hicho kitabu Mkuu.Kutumia dawa sio vzur Sana maana italeta addiction.
Insomnia sometimes huletwa na attachment ambazo unazo, either Mambo mabaya yaliyopita nyuma au unawaza Sana future, na Bado unaona huna dalili ya kufikia malengo hayo ya baadaye.
Njia nzur ya kufanya ili kupunguza ama kupona kabisa tatzo Hilo yaweza kuwa:-
1: Fanya Kaz ngumu au mazoezi yatayokuchosha hapo utalala vzuri tu.
2: Soma motivational books na quotes zitakazokujenga.
3: pata utulivu kila siku ikiwezekana tembelea kwenye mazngira asili Kama vile misituni, na sehemu za utalii.
4: let go matatizo yote uliyonayo na uishi wakat uliopo kwani hakuna kiasi chochote Cha mawazo au stress kinachoweza kubadili past Wala future.
5: Fanya Kaz za kujitolea, mfano kasaidie Kaz kwenye vituo vya wasiojiweza, toa misaada nk.
6: Soma kitabu Cha power of subconscious mind Cha Joseph Murphy utagundua mengi humo. Kiufupi ubongo wa binadamu Ni complex Sana jitahdi kuujua na kuutumia vizur, maana ubongo Ni Kama umeme. Ukiutumia vzur utakusaidia Ila ukiutumia vbaya huleta uharibifu mkubwa.
Itakuwa vizur. Ila hata ukisoma vitabu 1000 bila vitendo itakuwa Ni bure kabisa. Maelezo ya juu yake Ni muhmu zaidi ukiyafanya.nitakitafuta hicho kitabu Mkuu.
Shukuran
Tangu likiisha usingizi uko pale pale. Kheri akimbie akipanda kitandani amechoka atalala.kuna watu wanatumia hizi dawa kama dose,lakini hazifai hizi,bora unywe hata tungi tu kuliko sleeping pill
Unatumia dawa gani za kulevya?Habarini.
Nina Insomnia - hali ya kukosa usingizi.
Ni wapi naweza pata hivi vidonge au kitu cha aina hio?
Shukran.
Unaumri gani? Nakushauri ufanye mazoezi ili mwili uchoke utapata usingizi, punguza mawazo,Habarini.
Nina Insomnia - hali ya kukosa usingizi.
Ni wapi naweza pata hivi vidonge au kitu cha aina hio?
Shukran.
vyepesi kama vipi Mkuu?Tatizo la acidity ni chanzo pia cha kukosa usingizi kama una gesi iliyopitiliza tumboni basi inaweza kuwa sababu ya kukata usingizi control your eating habits uwe na kawaida ya kula vyakula vyepesi visivyo na gesi kila siku na hasa kabla ya kwenda kulala
vyepesi kama vipi Mkuu?