Nahitaji Sleeping Pills.

Nahitaji Sleeping Pills.

Mutha007

Senior Member
Joined
May 27, 2018
Posts
166
Reaction score
345
Habarini.
Nina Insomnia - hali ya kukosa usingizi.
Ni wapi naweza pata hivi vidonge au kitu cha aina hio?

Shukran.
 
Kama una mawazo punguza kuwaza, otherwise utajikuta umedevelop tolerance ya hizo dawa!
 
Umewahi sikia habari za Yesu Mnazareti?? Isaya alimwona kama mfalme wa amani yaani Prince of Peace. Huyu ni zaidi ya kidonge cha usingizi. Nipo sirius wala sikutanii. Mjaribu leo na saa hii wala hutaweza kujitambua hadi asubuhi.
Huyo ni kiboko ya mawazo kwani aliwauliza wanafunzi wake; Ni nani kwenu amewaza hata akajiongezea nukta ya urefu wake?? Jibu ni; Hakuna. Basi usisumbukie kesho, ya leo yanatosha acha kesho ijisumbukie yenyewe.
Ni kaushauri tu ila hebu jaribu au njoo PM unipe namba zako nakuhakikishia nisemayo ndio kweli kwani baada tu ya maombi utalala usingizi ambao hujawahi lala tena
 
dah!
Shukran. Na Amiin pia.
 
Kama una biblia jenga mazoea ya kusoma unapoingia kulala utajikuta umepitiwa na usingiz halafu ukisoma tafakar unachosoma tu usiwaze kitu kingine
 
Habarini.
Nina Insomnia - hali ya kukosa usingizi.
Ni wapi naweza pata hivi vidonge au kitu cha aina hio?

Shukran.
Kutumia dawa sio vzur Sana maana italeta addiction.

Insomnia sometimes huletwa na attachment ambazo unazo, either Mambo mabaya yaliyopita nyuma au unawaza Sana future, na Bado unaona huna dalili ya kufikia malengo hayo ya baadaye.
Njia nzur ya kufanya ili kupunguza ama kupona kabisa tatzo Hilo yaweza kuwa:-
1: Fanya Kaz ngumu au mazoezi yatayokuchosha hapo utalala vzuri tu.
2: Soma motivational books na quotes zitakazokujenga.
3: pata utulivu kila siku ikiwezekana tembelea kwenye mazngira asili Kama vile misituni, na sehemu za utalii.
4: let go matatizo yote uliyonayo na uishi wakat uliopo kwani hakuna kiasi chochote Cha mawazo au stress kinachoweza kubadili past Wala future.
5: Fanya Kaz za kujitolea, mfano kasaidie Kaz kwenye vituo vya wasiojiweza, toa misaada nk.
6: Soma kitabu Cha power of subconscious mind Cha Joseph Murphy utagundua mengi humo. Kiufupi ubongo wa binadamu Ni complex Sana jitahdi kuujua na kuutumia vizur, maana ubongo Ni Kama umeme. Ukiutumia vzur utakusaidia Ila ukiutumia vbaya huleta uharibifu mkubwa.
 
nitakitafuta hicho kitabu Mkuu.
Shukuran
 
kuna watu wanatumia hizi dawa kama dose,lakini hazifai hizi,bora unywe hata tungi tu kuliko sleeping pill
 
Tangu likiisha usingizi uko pale pale. Kheri akimbie akipanda kitandani amechoka atalala.
 
Tatizo la acidity ni chanzo pia cha kukosa usingizi kama una gesi iliyopitiliza tumboni basi inaweza kuwa sababu ya kukata usingizi control your eating habits uwe na kawaida ya kula vyakula vyepesi visivyo na gesi kila siku na hasa kabla ya kwenda kulala
 
vyepesi kama vipi Mkuu?
 
Back
Top Bottom