Nahitaji Sleeping pills

Nahitaji Sleeping pills

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,153
Reaction score
798
Jamani waungwana, naomba kujua ni wapi naweza pata sleeping pills, coz yani sipati usingizi kabisa hadi imekuwa kero. Na je bei yake?

Kama kuna ushauri mwingine tafadhali msaada..
 
Huhitaji vidonge vya usingizi. Kabla ya kulala kunywa maziwa fresh yawe ya moto, kama glasi moja.

Halafu lala, usingizi utakuja tu.
 
Dawa si nzuri kulazimisha usingizi

Pata muda wa kutosha kupumzika then punguza mawazo

pole sana
 
Jamani waungwana, naomba kujua ni wapi naweza pata sleeping pills, coz yani sipati usingizi kabisa hadi imekuwa kero. Na je bei yake?

Kama kuna ushauri mwingine tafadhali msaada..
TIBA YA KUTOKUPATA USINGIZI

  1. Miongoni mwa vinvyosababisha usingizi ni mafuta ya tango, hufaa sana kwa wale wenye usingizi mchache wajipake mafuta hayo.
  2. Vilevile mafuta ya busanji yanasaidia kuleta usingizi, pia ukitia kwenye nyayo zako za miguu maji ya Uvuguvugu utapata usingizi.
  3. Pia kunusa manemane na kunywa maji yaliorowekwa manemane.
  4. Kunusa zafarani na tufaha (apple) na pia maji ya zafarani ukayatia kichwani husaidia kuleta usingizi.
  5. Kunywa maziwa moto tia na sukari kidogo huleta usingizi
  6. Asali safi ya nyuki kunywa kabla kulala kwa saa huleta usingizi
  7. kunywa Mtindi Tia na sukari utakuletea usingizi.
  8. Chanzo.TIBA YA KUTOKUPATA USINGIZI
 
Jamani waungwana, naomba kujua ni wapi naweza pata sleeping pills, coz yani sipati usingizi kabisa hadi imekuwa kero. Na je bei yake?

Kama kuna ushauri mwingine tafadhali msaada..

Sikushauri kabisa utumie hiyo kitu kwakuwa ukishaanza hutakaa uache na Badala ya kutibu tatizo italiongeza yani utaanza na pill moja baadae utaendelea hadi tano
 
yani nalala hadi najisahau ningekuwa na uwezo huo tungebadilishana
 
Kula mabilinganya kwa wingi utalala hata iweje. Achana na mavidonge yana madhara. Kila mlo uwe na nabilinganya.
 
Jamani waungwana, naomba kujua ni wapi naweza pata sleeping pills, coz yani sipati usingizi kabisa hadi imekuwa kero. Na je bei yake?

Kama kuna ushauri mwingine tafadhali msaada..

mkuu mi mwenyewe hili tatizo linanisumbua limeanza wiki chache zilizopita yaan nikiingia kitandan sijaji hadi saa 7 au 8 kasoro japo huwa nachokaga sana kwan nacheza mpira wakat mwingine naamua kwenda kuwasha tv ama kujisomea ila juzi meenda duka la dawa kuchukua piriton nikakosa wakanishaur nichukue valliam menunua memaza kimoja nilipata usingizi ila nikishtua usingizi bahat mbaya ndo bas silali tena
 
Jamani waungwana, naomba kujua ni wapi naweza pata sleeping pills, coz yani sipati usingizi kabisa hadi imekuwa kero. Na je bei yake?

Kama kuna ushauri mwingine tafadhali msaada..

Tafuta dawa zinaitwa Zzzquil,nighttime sleep-Aid ni non Habit forming mie natumia wakati nikiw nimesafiri kwa ajili ya kulala kwenye flight mie nimenunua U.S.A kama unataka naweza kukupatia Kiduchu ukajaribu.
 
habari pole sana
hilo tatizo linaitwa insomnia husababishwa na vitu ving kama mawazo au ubongo kwani ubongo una part ndogo sana inayoweza kukufanya ulale au uamke sasa sehemu hyo ikiwa disturbanced husababsha tatizo hilo hivyo kuna dawa mbalimbali za hospital lakin huwa zina side effect kubwa ukitaka kujua hzo dawa nitafute

lakini pia kuna dawa ya asili ni vidonge visivyo na chemicals
dawa ina itwa MELATONIN

FUNCTION

1.It helps to control natural sleep-wake cycle
2.readjust the body biological clock - such as treating insomnia, jet leg and other sleep disorder reduces secrection from human body about 10-16% every years
3 .maintain melatonin level as youth can help to restore the biorhythms as youth slow down aging process
4.improve quality of sleep

hizo ndo kaz zake kubwa
0765650028 kwa msaada zaid
 
Back
Top Bottom