Nahitaji smartphone nzuri nina laki 4 na 40.....440, 000

Taylor Gang Jr

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
131
Reaction score
7
Habari wakuu....nipo dar, nahitaji smartphone nzuri original na ambayo haina tatizo lolote....ela niliyonayo ni laki 4 na 40 tu.
#440 , 0000
####kama unayo simu nitaarifu thru PM tuongee.....kesho naihitaji asubuhi...nitakuwa serena hotel pale.
 
brandnew sony experia C full boxed...interested check with me.
 
Hiyo pesa unapata smart 4n mpya kabisa mkuu, nenda dukani,
 
Hiyo pesa unapata smart 4n mpya kabisa mkuu, nenda dukani,
Habari wakuu....nipo dar, nahitaji smartphone nzuri original na ambayo haina tatizo lolote....ela niliyonayo ni laki 4 na 40 tu.
#440 , 0000
####kama unayo simu nitaarifu thru PM tuongee.....kesho naihitaji asubuhi...nitakuwa serena hotel pale.

Atapata smartphone mpya lakini sio latest smartphone, atapata smartphone ya kizamani. Hata S3 Mpya Box Sealed hapati kwa bei hiyo..bora aendelee kutafuta used smartphone (mint condition) ambayo ina specification za kisasa,,
 
Samsung gland dual anapata kwa 440,000/ aende quality centre
 
Ninayo samsung Galaxy Grand 2 Full boxed.
Black in color

contact me: 0712888884
 
Habari wakuu....nipo dar, nahitaji smartphone nzuri original na ambayo haina tatizo lolote....ela niliyonayo ni laki 4 na 40 tu.
#440 , 0000
####kama unayo simu nitaarifu thru PM tuongee.....kesho naihitaji asubuhi...nitakuwa serena hotel pale.

kaka hiyo hela unapata smartphone mpya kabisa. achana na wababaishaji.

nenda zako dukani nunua simu mpya yenye warranty. BlackBerry z10 mpya inauzwa around 400 madukani. s3 inacheza hiyo bei na nyinginezo nyingi tu
 
Back
Top Bottom