Nahitaji soko la Quartz crystals

Nahitaji soko la Quartz crystals

M-Manoti

Member
Joined
Nov 10, 2017
Posts
7
Reaction score
6
Habari zenu members
Naomba kujua soko la madini aina ya Quartz lilipo kwa nchi yetu hii ya Tanzania na pia bei yake kwa kilo.
IMG_4025.JPG
 
View attachment 1325154
Kuna jamaa ntakutumia namba yake yuko arusha wao wananunua kg1 90000 mpk 100000
Ila size Kuanzia kg1 and above
Yaani piece kwa jiwe liwe uzito huo
Jamaa yuko na mzungu hpo chuga
Ila make sure mchongoko wa juu Yaani nncha
Unaitunzaa usivunjee maana Ina add value

From mrangi ambaye syo mchoyo wa connection

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo in box mkuu nikupe mchongo tuone kama tutayajenga boss
 
Kuna jamaa ntakutumia namba yake yuko arusha wao wananunua kg1 90000 mpk 100000
Ila size Kuanzia kg1 and above
Yaani piece kwa jiwe liwe uzito huo
Jamaa yuko na mzungu hpo chuga
Ila make sure mchongoko wa juu Yaani nncha
Unaitunzaa usivunjee maana Ina add value

From mrangi ambaye syo mchoyo wa connection

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bei imeekaaje sasa hivi kuna ndugu yangu mmoja ana plot yenye deposit ya quartz crystal kuna wachina walikuwa wamesha kubaliana nae(gentleman agreement ) sema walivyoondoka hawakurudi tena kutokana na janga la corona ...

Makubaliano yao yalikuwa nikwamba wao wanafanya kila kitu ila watakuwa wanamlipa pesa per tone inayochimbwa .....kiupande wangu niliona pesa hiyo ni ndogo ila nahisi thamani inaweza ikaongezeka kama akifanya kitu cha tofauti naomba ushauri mkuu.
 
Mkuu bei imeekaaje sasa hivi kuna ndugu yangu mmoja ana plot yenye deposit ya quartz crystal kuna wachina walikuwa wamesha kubaliana nae(gentleman agreement ) sema walivyoondoka hawakurudi tena kutokana na janga la corona ....

Makubaliano yao yalikuwa nikwamba wao wanafanya kila kitu ila watakuwa wanamlipa pesa per tone inayochimbwa .....kiupande wangu niliona pesa hiyo ni ndogo ila nahisi thamani inaweza ikaongezeka kama akifanya kitu cha tofauti naomba ushauri mkuu
Kwa sasa bei imeshuka sababu ya Corona
 
Mwambie achimbe mwenyewe, na wewee umuongezee nguvu!

Quartz kuchimba rahisi hafu hazikai mbali...
 
Nashukuru kwa points mkuu ....shida yake ni mtu ambaye anaamini kwamba chochote kinachohusu madini ni uchawi najaribu mkusanyia point za msingi nimatumaini yangu atanielewa anajiweza sana shida ni mtazamo wake
 
Wapo Walokole wanachimba Madini, hawachinji hata Kuku wala kufanya Ushirikina wowote zaidi ya Maombi.

Wapo Washirikina Wanachimba Madini, hawafanyi chochote Mpaka Mganga aseme...

Na kila mtu anapata Ridhiki yake.
 
Kuna jamaa ntakutumia namba yake yuko arusha wao wananunua kg1 90000 mpk 100000
Ila size Kuanzia kg1 and above
Yaani piece kwa jiwe liwe uzito huo
Jamaa yuko na mzungu hpo chuga
Ila make sure mchongoko wa juu Yaani nncha
Unaitunzaa usivunjee maana Ina add value

From mrangi ambaye syo mchoyo wa connection

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
nsaidie namba ya hao jamaana mm niazo quarts
 
Back
Top Bottom