DEDmpole
Member
- Dec 17, 2021
- 30
- 30
- Thread starter
- #21
Samahani bro, ili kutoa bei ilibidi nijue umbali mzigo ulipo na uhakika wa upatikanaji kwenye hilo eneo moja kwasababu kutoa mzigo Malawi kwenda Dar sio sawa na kutoa Morogoro kwenda Dar..kwaiyo kuna mambo flani mengi yakuzingatia na ndio maana nlikua nauliza maswali nijiridhishe alaf tujadili kwasababu sipo mwenyewe kwenye hiyo kazi...ila nashkuru sana nilishapata sehem sahihiAchana nae huyo mbabaishaji eti unampigia simu anakuambia uulizia kwanza kama zipo halafu tulete gari hahahaha... juzi tu zimesafirishwa hapa tani 23 za soya wamechukua wachina fulani