Nahitaji Subaru Forester XT, Harrier au Altezza Silver au Black kuanzia2001

Namba plus matunzo ya gari.Kuna gari namba D ziko hoi kutokana na rough driving.Na kuna watu wana magari namba A bado yako super.
Ni kweli na ndio maana nikasema mbichi kabisa...namaanisha iko bomba..then wabongo sikuiz tunanunua plate namba mzee..wengi hawapendi kutumia namba A au B hata kama imenyooka..na ukiwa na namba D unaweza mkaza mtu akajinyima akakosa ata ela ya mafuta ya kurudia mkoani ilimaradi ailipie ata kama ina ubovu anakwambia ntatengeneza nikifika..
 
Haa haa vijana nyie ndiyo mnaangalia hayo mambo ya namba mambo ya Kisasa.Mm nina Hilux 2.8 ina namba A lakini nikiipeleka sokoni naiuza na kunununua hizi gari ndogo zenye namba D kama 3 au nne hivi.......
 
Jomba una majibu
Jipange ndugu,hutopata subaru kwa bei hiyo......
Zipo kibao
 
Miwatu inajua kukatisha tamaa..tatizo la kuwapa au kudeal na madalali..me nlimfanyia deal jamaa nikamzunguka dalali..yan gari dalali aliotukazia mil 10 tulinunua mil 7 bila wasiwasi yan..achana na nguvu ya ela..

Tena saiv kwa mjomba altezza mil 4 unapata namba C kaliii...wapiga deal wa enzi izo wanauza kama hawana akili nzuri..sema inshu ni kuipata io m 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…