gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
Ni kweli na ndio maana nikasema mbichi kabisa...namaanisha iko bomba..then wabongo sikuiz tunanunua plate namba mzee..wengi hawapendi kutumia namba A au B hata kama imenyooka..na ukiwa na namba D unaweza mkaza mtu akajinyima akakosa ata ela ya mafuta ya kurudia mkoani ilimaradi ailipie ata kama ina ubovu anakwambia ntatengeneza nikifika..Namba plus matunzo ya gari.Kuna gari namba D ziko hoi kutokana na rough driving.Na kuna watu wana magari namba A bado yako super.