Nahitaji Sungura

Nahitaji Sungura

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Natafuta sungura wakubwa kama uko mwanza tuwasiliane
 
1481702626849.jpg
 
Hata kwa kupamba mji mbona tuzuri tuuu! Ukituweka sehemu safi na salama watoto wanachezea
Nimenunua wawili majike yote kwa jamaa yangu kwa ajiri ya watoto tu.Hivi karibuni niliwapeleka madogo miaka2-4 wakaone nguruwe kwa huyu jamaa ndo akanipitisha na kwenye banda la sungura watoto walipenda sana jamaa akaniuzia kwa 8000 tu kila mmoja akaniambia dume ataniazima bure lipande kisha lirudi.

Watoto hawakuta kabisa kulala maana sikuwa na banda niliviachia sebreni tu wacheze navyo
 
Back
Top Bottom