Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Mkuu acha kejeri usitoe mantiki ya uzi nipo kutafuta kipatoYako ushaizibua?
Vifaa vyangu ni koleo, jembe na ndoounatumia mafuta ya aina gani unisaidie mkuu
Machawa ndio wanaokula na kushiba.....umeshawacheki namba zao? Hope utapata kibarua.Kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nianze kufanya kazi ya kusafisha na kuzibua mitaro sehemu mbalmbali za jiji la Dar es salaam.
haszu
Confession
@cutewife
Nawengine ambao mnaweza kutoa tenda mje,. hakika koleo na vifaa vingne muhimu vipo vinasubiri wateja.
Mitaro hii inayojengwa na halmashaurMitaro gani kama ile anayoiongeleaga konde boi na mboso khan au
Haszu ni kidume cha donatiUkimuona bibie haszu, we jiongeze makafiri hawa
Mkuu mbna naongelea mifereji ndo maana nimeleta Uzi jukwaa la Ajira na tendaDamn can't believe the home of great thinker's, has fallen to be the empire of shit thinker's!
Mafuta yana kazi gani kweny kuzibua mtaro?mafuta hauna
Eeh kwaiyo siku hizi mnafanyanje mnapeleka wapi! 🤣😁Siku hizi hatunyi boss