A AdvanniG Member Joined Sep 12, 2023 Posts 12 Reaction score 17 Feb 28, 2024 #1 Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu. Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye connection karibu tuyajenge
Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu. Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye connection karibu tuyajenge
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Feb 29, 2024 #2 JE KWA WALIO MIKOANI WANAWEZA KUJA TUFANYE BIASHARA MKUU
A AdvanniG Member Joined Sep 12, 2023 Posts 12 Reaction score 17 Mar 1, 2024 Thread starter #3 ladyfurahia said: JE KWA WALIO MIKOANI WANAWEZA KUJA TUFANYE BIASHARA MKUU Click to expand... anaweza pia, inategemeana na gharama zake, nilipendekeza mkazi wa mbeya ili kuepusha gharama ambazo zinaweza zisiwe za lazima
ladyfurahia said: JE KWA WALIO MIKOANI WANAWEZA KUJA TUFANYE BIASHARA MKUU Click to expand... anaweza pia, inategemeana na gharama zake, nilipendekeza mkazi wa mbeya ili kuepusha gharama ambazo zinaweza zisiwe za lazima