Nahitaji Tent, keki na upambaji wa harusi Mbeya

Nahitaji Tent, keki na upambaji wa harusi Mbeya

AdvanniG

Member
Joined
Sep 12, 2023
Posts
12
Reaction score
17
Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu.

Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye connection karibu tuyajenge
 
JE KWA WALIO MIKOANI WANAWEZA KUJA TUFANYE BIASHARA MKUU
 
Back
Top Bottom