Nahitaji Toyota Passo 4 Pistons tuwasiliane

Nahitaji Toyota Passo 4 Pistons tuwasiliane

ha ha aha .. ndo kaamua kuongeza mil 2. kabisa? jamaa anamwaribia biashara muuzaji.angalau angeongeza lakh 5 halafu ishuke kidogo. huwezi muuzia mtu mjanja toyota passo mil 6.5 acha hiyo 7.5. huwezi kamwe.
Kaongeza na za kwake huyu
 
Unachekesha kweli Passo una million 4 unataka no.c hujui bei ya magari tafuta corola tu ya 3.5 piston 4 ipo juu
 
zipo usibishe... mimi namfaham jamaa kanunua namba c kwa mil 4.3 nzuri kabisa na hakufanya lolote zaidi ya kuweka mafuta mpaka sasa ni mwezi wa 3 hajapeleka gari kwa fundi. zipo tena za 3 pistons hadi namba d unapata kwa 4 mil. unaweza ukadhani unajua kumbe hujui.

na ka swift kanapatikana kwa bei gani Mkuu namba ataikiwa b.kuna mdada anatafuta ako
 
Wadau gharama za mafuta kila siku zinanishinda naishi mbali mwisho wa dunia. Gari ninayotumia ina 6 cyls 3000CC .

Kuna jamaa yangu anakuja na vitz yake anaenjoy sana.nami nmeamua nitafute toyota passo ya 4 pistons kwa mtu mwenye shida ya pesa ntampatia mil 4. Namba kuanzia C na kuendelea. Mwenye nayo awasiliane nami.kama unajua huna basi si mbaya ukasoma tu thread ukaiacha.
nunua bajaji mataili matatu upate kipato tu.
 
Back
Top Bottom