Nahitaji toyota rav4 ya mwaka 1998-1999-2000

i had a brief look, for a 2001 Reg with about 70,000 miles its TZS 16m including import duty/VAT. For an older car e.g 95-97 reg with 120,000 miles approx looking at 8m
 
hivi mimi nitanunua lini gari wajameni? Nway hata hivyo bado sijakata tamaaa
 
Mkuu asante kwa kunikosoa kiswahili ninamaana Dar bado haijatembea ila nimeinunua ina km hazizidi 50,000.

Mkuu Mdondoaji, hebu weka data zaidi, ili na wengine wenye nia watangaze. Pamoja na taarifa ulizokwisha toa, naomba kufahamu; uliingiza lini nchini na kutokea wapi. Pia nifahamishe kwa hapa Dar iko wapi na kama inawezekana kufika physically kuiona.
 
Mkuu exav na mdau nimeiuza hiyo leo kwa milioni 16.5 sorry mkuu kama unataka ninaagiza nyengine itaondoka January kuja bongo ukitaka niPM tuwasiliane zaidi uende wapi ukaicheki hiyo. Niliyoiagiza nayo ni mayai ila imetembea 70,000 KM na ni petrol cc 1900 mwaka 2001-2002
 
Mkuu kama una picha na detail za hiyo unayosema inaingia january naomba uniwekee niicheki yan hata mi ninahitaji Rav 4 mayai na cc isizidi 1900, na kama ni VVTI ingekuwa bomba sana.
 
Sendeu Vipi? Umepata Hiyo Gari? kama bado nitafute katika chimoahmed@gmail.com
Kama Wewe Ni Louis Mshkaji wangu Tuliokuwa pamoja TBC1 Nikupe yangu Rangi ya blue
 
Mkuu kama una picha na detail za hiyo unayosema inaingia january naomba uniwekee niicheki yan hata mi ninahitaji Rav 4 mayai na cc isizidi 1900, na kama ni VVTI ingekuwa bomba sana.

NitakuPM mkuu maana ndio kwanza nimeinunua na ndio ni VVTI engine mkuu. Ninategemea jamaa anitumie picha nitakupatia
 
hivi mimi nitanunua lini gari wajameni? Nway hata hivyo bado sijakata tamaaa

You are not alone mate. Nami pia najiuliza swali hilo kila siku. Ajabu ni kwamba nikiona matangazo ya magari yanayouzwa sikosi kuchungulia, japokuwa najua sina mshiko. I know, one day my dream will come true. Usikate tamaa, iko siku utanunua. NEVER SAY NEVER IN LIFE.
 
Mimi nimeacha kujiuliza nimenunua haka kadude bei chee mnakimbilia marav 4 mwishowe mnakata tamaaa bure

Number zime editiwa kwa sababu za kiusalama, huku Moshi awachelewi kukaiba haka
 
Mimi nimeacha kujiuliza nimenunua haka kadude bei chee mnakimbilia marav 4 mwishowe mnakata tamaaa bure

Number zime editiwa kwa sababu za kiusalama, huku Moshi awachelewi kukaiba haka

Hivi wee unakuja lini huku Marangu mtoni? Leta huo mkoko, stout langu limezidiwa!
 
Wadau mie ni mwanafunzi ndo namalizia masomo yangu uku ughaibuni then mwakani narudi nyumbani,ss mie sio mtaalamu wa magari kabisaaaa yani ata tone!naona tu yanatembea barabarani basi!ss nataka ninunue gari punde tu ntakaporudi ila natafta gari ambayo ni fuel efficiency,je ni gari gani itanifaa?
Naombeni ushauri,pia iwe nzurinzuri yani ya kisistaduu kiaina!
 
Unamaanisha nini fuel efficiency (1.9, 2.5, 5.0) define vizuri, na je maintanance costs yako ikoje? Na unaitumia gari kwa shughuli gani? Na je preference zako ni zipi (Saloon, 4x4 etc). Kuwa specific dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…