tanzaniahorizon
Member
- Dec 20, 2010
- 14
- 8
Sendeu
mie nipo UK. ninaweza kukutafutia hili gari hapa UK. Utakua interested?
mie nipo UK. ninaweza kukutafutia hili gari hapa UK. Utakua interested?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jivutevute kaka uchukue ya hv, hautajutia!
hiyo ndo Rav 4 2002 model from UK,iko nchini Botswana, kama unahitaji tuwasiliane, +267 71642057 ama email: lyakudn72@yahoo.com, bei ni 15milAttached Files![]()
RAV4 2002.doc (346.0 KB, 25 views)![]()
Sendeu
mie nipo UK. ninaweza kukutafutia hili gari hapa UK. Utakua interested?
Mkuu asante kwa kunikosoa kiswahili ninamaana Dar bado haijatembea ila nimeinunua ina km hazizidi 50,000.
Mkuu Mdondoaji, hebu weka data zaidi, ili na wengine wenye nia watangaze. Pamoja na taarifa ulizokwisha toa, naomba kufahamu; uliingiza lini nchini na kutokea wapi. Pia nifahamishe kwa hapa Dar iko wapi na kama inawezekana kufika physically kuiona.
Mkuu exav na mdau nimeiuza hiyo leo kwa milioni 16.5 sorry mkuu kama unataka ninaagiza nyengine itaondoka January kuja bongo ukitaka niPM tuwasiliane zaidi uende wapi ukaicheki hiyo. Niliyoiagiza nayo ni mayai ila imetembea 70,000 KM na ni petrol cc 1900 mwaka 2001-2002
Mkuu kama una picha na detail za hiyo unayosema inaingia january naomba uniwekee niicheki yan hata mi ninahitaji Rav 4 mayai na cc isizidi 1900, na kama ni VVTI ingekuwa bomba sana.
NitakuPM mkuu maana ndio kwanza nimeinunua na ndio ni VVTI engine mkuu. Ninategemea jamaa anitumie picha nitakupatia
hivi mimi nitanunua lini gari wajameni? Nway hata hivyo bado sijakata tamaaa
You are not alone mate. Nami pia najiuliza swali hilo kila siku. Ajabu ni kwamba nikiona matangazo ya magari yanayouzwa sikosi kuchungulia, japokuwa najua sina mshiko. I know, one day my dream will come true. Usikate tamaa, iko siku utanunua. NEVER SAY NEVER IN LIFE.
Mimi nimeacha kujiuliza nimenunua haka kadude bei chee mnakimbilia marav 4 mwishowe mnakata tamaaa bure
![]()
Number zime editiwa kwa sababu za kiusalama, huku Moshi awachelewi kukaiba haka
Hivi wee unakuja lini huku Marangu mtoni? Leta huo mkoko, stout langu limezidiwa!
Poa nasubiria
Jivutevute kaka uchukue ya hv, hautajutia!
hiyo ndo Rav 4 2002 model from UK,iko nchini Botswana, kama unahitaji tuwasiliane, +267 71642057 ama email: lyakudn72@yahoo.com, bei ni 15milAttached Files![]()
RAV4 2002.doc (346.0 KB, 25 views)![]()
Wadau mie ni mwanafunzi ndo namalizia masomo yangu uku ughaibuni then mwakani narudi nyumbani,ss mie sio mtaalamu wa magari kabisaaaa yani ata tone!naona tu yanatembea barabarani basi!ss nataka ninunue gari punde tu ntakaporudi ila natafta gari ambayo ni fuel efficiency,je ni gari gani itanifaa?
Naombeni ushauri,pia iwe nzurinzuri yani ya kisistaduu kiaina!