Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
424
Reaction score
950
Habari zenu

Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya)
Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo nitashukuru sana.

Simu/whatsapp: 0777777766| 0659211222

Mahali napatikana: Dar es Salaam

TAARIFA:
BIASHARA IMEFUNGWA, GARI AINA YA TOYOTA VELLFIRE ILISHAPATIKANA

Shukrani
 
Hiyo bei za Alphard old lakini
 
Back
Top Bottom