Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,659
- 2,227
Habari zenu Wana JF.(GREAT THINKERS). Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wenu wapi naweza kupata hiyo kitu na bei yake inakuwa ngapi? Nasikia ARUSHA kuna kiwanda kinatengeneza TRANSFOMER, kwa anaejua naomba address yao. Vilevile ningependa kujua contact za kiwanda kama hicho katika nchi kama INDIA au CHINA. Nawapenda Wana JF wote. THANKS.