Deo Meck Mbagi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 360
- 525
Weka na daraja la leseni yako, makazi na uzoefuHello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.
Nahitaji;
1. Fuso 10 Tone.
2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Weka na daraja la leseni yako, makazi na uzoefu usaidike kwa harakaHello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.
Nahitaji;
1. Fuso 10 Tone.
2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Umendika kama wenye magari ndio wanashida na weweHello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.
Nahitaji;
1. Fuso 10 Tone.
2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Sawa nimekuelewa.Ujaweka sawa unataka ufanyie kazi au ukodishe
Tafuta Canter kama hiyoHello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.
Nahitaji;
1. Fuso 10 Tone.
2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Nashukuru sana MkuuTafuta Canter kama hiyo View attachment 2480589