Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.

Nahitaji;

1. Fuso 10 Tone.

2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Weka na daraja la leseni yako, makazi na uzoefu
 
Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.

Nahitaji;

1. Fuso 10 Tone.

2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Weka na daraja la leseni yako, makazi na uzoefu usaidike kwa haraka
 
Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.

Nahitaji;

1. Fuso 10 Tone.

2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Umendika kama wenye magari ndio wanashida na wewe
 
Ujaweka sawa unataka ufanyie kazi au ukodishe
Sawa nimekuelewa.

Nina kampuni ya Usafirishaji. Nahitaji magari hayo kutumika katika kazi za kampuni. Maana mahitaji yameongezeka.

Magari hayo naweza kukodi kulingana na makubaliano. Au kuyanunua kwa kulipa kiasi kila mwezi hadi kukamilisha malipo. Kwa mfano nalipa ndani ya mwaka mmoja.
 
Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.

Nahitaji;

1. Fuso 10 Tone.

2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Tafuta Canter kama hiyo
697516153.jpg
 
Back
Top Bottom