Nahitaji tuition ya accounting

muyumbu

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
23
Reaction score
10
Habari wanajamvi.
mimi ni mwanafunzi wa accountant pale T.I.A main campus naingia mwaka wa pili sasa ila hali yangu sio nzuri sana katika hilo somo ambalo ni co subject naomba connection ya mwalimu atakae nifundisha kuanzia what's z bookkeeping na kuendelea...

Asanteni
 
Hapana sio online natafuta mtu ambae yupo hapa hapa DA
 

Kama upo tayari nitakusaidia.ila itabidi ukubaliane na ratiba zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…