Nahitaji Tumbaku-Kwa Kiwango Kikubwa

Nahitaji Tumbaku-Kwa Kiwango Kikubwa

Gugwe

Senior Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
122
Reaction score
54
Habari wadau,

Nipo Arusha ninahitaji Tumbaku kwa ajili ya soko la nje zenye specification zifuatazo: Full leaf with 1 year storage, nicotine 0.7%-1.3%. Not much spice.

Mwenya taarifa au uwezo wa kunisupply tuwasiliane.
 
I ni ngumu kupata tumbaku iliyo kaa mwaka,sababu inauzwwa baada ya kukaushwa ili kurudisha mkopo bank nakuanza kuandaa shamba.
 
Back
Top Bottom