Nahitaji tunda la parachichi aina ya hass pekee

Nahitaji tunda la parachichi aina ya hass pekee

King Loto

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,581
Reaction score
1,357
Kama kuna mwanajf mwenye kunijuza maeneo zilipo tunda la parachichi aina ya hass kwa Moshi au Arusha anipe info's anijuze hapa au aje PM kama yuko nazo,

siitaji parachichi kuchukua maeneo ya mbeya rungwe, njombe, au iringa maana kipindi hiki hizo parachichi zinaweza kuwa adimu sababu ya mavuno yake kuwa chini msimu huu, kwahiyo naepuka cost za kusafirisha kutoka huko shambani mpaka sokoni vile nitanunua kwa bei ya juu na kuuza kawaida,

nimeomba hivo maana soko lake lipo nearby arusha, kilimakiaro....
 
Back
Top Bottom