Nahitaji Turkeys - Au Bata Mazinga kama waswahili wanaovyowaita

Nahitaji Turkeys - Au Bata Mazinga kama waswahili wanaovyowaita

TheSpam

Senior Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
180
Reaction score
258
Wakuu nahitaji kununua hao viumbe mdau kwa mwenye aina za hao viumbe ila iwe pure breed fulani isiwe crossed! kama ni royal palm wawe hivo kama ni heritage turkeys wawe hivo kama bronze giant breasted black etc
 
Wacheki hao jamaa
IMG-20190830-WA0000.jpeg
 
😂

Unaandika thread kwa ID hii unajijibu mwenyewe kwa ID nyingine...

Kuna binadamu mnafurahisha sana...

Cc: mahondaw
 
tatizo kwa kuwa unadhani mm kinyonga bas ni kinyonga kila kitu..ka ndivyo baa hata Id yako hii nayojibu ni mimi najijibu..id yako yangu nyambafu we
Tena mpuuzi sana huyu kijana
 
tatizo kwa kuwa unadhani mm kinyonga bas ni kinyonga kila kitu..ka ndivyo baa hata Id yako hii nayojibu ni mimi najijibu..id yako yangu nyambafu we
Tena mpumbavu Sana huyo
 
Back
Top Bottom