Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
620kNa mpya ziko bei gani?
Natumai hamjambo wadau, nahitaj tv inch 43 smart. Kampuni hzi.
1. Mewe
2. Tcl
3. Good vission
Ofa yangu ni laki 4.
Hiwezi pata kwa iyo bei labda kama ni tapeliKama ni Mvumilivu na Upo Dar (hapa ni urahisi wa kufwata mzigo) mtafute Chris Lukosi Facebook kisha ingia kwenye website yake ununua TV Kubwa Inch 50 smart TV used from London Lwa hio 400k Aina Mbalimbali kama Panasonic,Samsung, LG nk. SIFA UVUMILIVU
Hiwezi pata kwa iyo bei labda kama ni tapeli
kcglobals.com
NimenunUa inch 43 smart 4K LG used from USA bei sio ya kizembeView attachment 3255325Nenda hapo![]()
TV MCHANGANYIKO INCHI 50” SMART
Hizi ni tv za majina tofauti inchi kari ya 50 mpaka 55 sony, panasonic, hisense, Lg nk Hskuna kuchagua ila zikifika ukiwahi basi utaruhusiwa kuchagua wakati wa kuchukuakcglobals.com
Kwenye Website kuna inch 50 separate 400k tu mpaka inafika Bongo utafata Warehouse yao Bunju huko.
Kama huamini basi subiria wabongo wakishanunua waje wakuuzie Inch 50 brand tajwa kwa milioni Moja na ushee. Maamuzi ni yako.
Hongera. Wakati mwingine chimbo hilo.NimenunUa inch 43 smart 4K LG used from USA bei sio ya kizembe