Loudspeaker
Member
- Feb 8, 2021
- 88
- 107
Hello wana jamvi,
Matumaini yangu wote ni wazima asubuhi ya leo na ni siku nyingine alietupa Mungu kwa ajili ya mapambano, they say every new day as new opportunities.
Mimi ni mchimbaji wa Feldspar, nimekuwa kwenye fani tangu September 2020, ambapo nilianza kwa kufanya survey ya feldspar mkoa wa Morogoro, nimezunguka vijiji kadhaa for a period of two years in searching for a mine ambao utakuwa productive.
Nashukuru Mungu kwakuwa aliona hitaji langu, nimefanikiwa kupata mgodi mzuri sana wa Tinted mwamba wake umejengea mlimani, na quality ya jiwe ni zuri sana.
Order ya haya mawe teyari ninayo, tani inaenda kwa 15m, na mgodi unaweza zalisha matani na matani kwa mwezi tukiungana na kupiga kazi tutakuwa na uwezo wa kuzalisha kuanzia tani tano kwa mwezi na kuleta mzigo sokoni Dar.
Ninachohitaji hasa ni nguvu Watanzania wenzangu, nahitaji mtu wa kuingia nae ubia, tuanze hii safari pamoja ya uvunaji. Site teyari nimeipata na nimeifanyia survey pia. Kwa yoyote ataekuwa interested anaweza nitafuta on Whatsapp 0788257485 ili tuanze panga mikakati.
We can meet up tuijadili plan kwa mapana na pia twende mgodini ili ukaone mwenyewe na kujiridhisha, na kama utataka twende na geologist wako unaemuamini ili akakusaidie kukagua mkanda, then doors are opened. Ukishajiridhisha, tunasaini mkataba, then kazi inaanza.
Mimi kwa sasa sina nguvu ya kuanza ku-mine hapo, kuna pesa nilikuwa naitegemea ila naona hiyo pesa mpaka mwakani, na kwasasa inabidi kazi ianze ili by Christmas tuwe teyari tumeanza kupata profit.
Nguvu inayohitajika hapo ni compressor na hela ya kuendesha kazi ndani ya wiki tatu za awali baada ya hapo tutakuwa teyari na mzigo wa kutosha, mgodi utaanza jiendesha baada ya hapo.
Kwa yoyote ambae ni mpambanaji kama mimi, yupo serious na anataka ingiza pesa yake kwenye mzunguko, then hii ni fursa ndugu zangu. Mimi ni kijana nilimaliza geology hapo UD mwaka 2018, baada ya hapo nilivyoona ajira hakuna nikajiongeza kwenye kutafuta ramani ya mgodi ambao niliamini ipo siku utaanza nilipa na kuwa kazi kubwa ya kimataifa, cause hiyo tinted tukiipeleka Hongkong tunapata pesa nzuri sana.