ahmedjuma4
Senior Member
- Jul 16, 2019
- 103
- 217
Wewe jamaa unaonekana unauelewa sana kuhusu Mining... uko vzrHuyu ni tapeli, anataka tapeli watu.
Matapeli hupenda weka bei kubwa ili kuingiza watu Kingi
Compressor bei yake ni ndogo hata kwa 15 mil waipata CompAir 3 piston, Unapata Digger Y 24
Unapata tarimbo 3
Bit za kuanzia kazi
Mipira ya upepo
Kama hiyo ndo bei ya tani moja anashindwaje tumia hata mkono anunue hivyo vifaa?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app