Huyu ni tapeli, anataka tapeli watu.
Matapeli hupenda weka bei kubwa ili kuingiza watu Kingi
Compressor bei yake ni ndogo hata kwa 15 mil waipata CompAir 3 piston, Unapata Digger Y 24
Unapata tarimbo 3
Bit za kuanzia kazi
Mipira ya upepo
Kama hiyo ndo bei ya tani moja anashindwaje tumia hata mkono anunue hivyo vifaa?
Sent from my M2006C3LG using
JamiiForums mobile app