Mabadiliko ya katiba... kikubwa inapendeza nafasi ya waziri mkuu hapo ndio vuguvugu lote..maana Uhuru Kenyatta ataendelea kusalia madarakani kama waziri mkuu na Raila odinga Raisi..ndio maana ktk hii move Raila na Kenyatta Ni kitu kimoja ,.huo ndio mpango....mpango huo mpingaji Ni Ruto ndio maana uswahiba wake na Uhuru umekufa yeye alitaka makubaliano ya mwanzo na Uhuru yaendelee....