Nahitaji ufafanuzi kuhusu hili

Nahitaji ufafanuzi kuhusu hili

kwasukwasu

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
120
Reaction score
135
Hivi kuendesha gari au chombo cha moto ukiwa umevaa viatu vya wazi au sendo ni kosa kisheria naombwa kujuzwa wadau
 
Vipi umekamatwa nini? Tunaomba share na sisi nini kimekusibu.
 
aisee inaonekana ww ulipata lessen bila kupita chuo cha udereva.

siku zote trafic wana wanyoosha kwa kuwa wanajua hamfaham mkifanyacho
 
Hata kuendesha gari tumbo wazi ni kosa pia.
 
kuendesha gari umevaa helment ya pikipiki jee
 
kuendesha gari umevaa helment ya pikipiki jee
Uliwaangalia waendesha magari ya mashindano, wanavaaga hizo dude. Nadhani sio illegal ni kwa safety purpose.
 
Back
Top Bottom