Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Sijali unatumia software gani,iwe Adobe/Balasmiq/Bubble/etc kitu nnachokitaka ni uwe na uwezo wa kutengeneza CLICKABLE-PROTOTYPES at the end.Natumia XD kama vipi nicheck
You are welcomeSijali unatumia software gani,iwe Adobe/Balasmiq/Bubble/etc kitu nnachokitaka ni uwe na uwezo wa kutengeneza CLICKABLE-PROTOTYPES at the end.
Umeme seriously?Kazi inafanyika, unahitaji iwe tayari baada ya muda gani? Maana changamoto umeme.
Ingia Udemy jifunze au ajiri freelancer fiverr kama hauna muda. Bonge naipenda lakini wabongo si wa kutegemewa haswa kwenye deadlinesWakuu ndo kusema Designers wa UI/UX hakuna kabisa?????
Tanzania yangu 😭
Wakuu ndo kusema Designers wa UI/UX hakuna kabisa?????
Tanzania yangu [emoji24]
Afu katukosea sana eti Tanzania, kwamba Jamiiforums ndo Tanzania nzima? Kama anataka kujua wataalam wapo au hawapo atoe matangazo kwenye mainstream media km Radio, TV na magazeti kisha aitishe usahili pale uwanja wa Mkapa, akikosa watu ndo arudi kulaumu humu.Uzi si umeuleta jana tu mkuu? Wapo waliojitokeza huko juu, umewasiliana nao wakashindwa ndio uhitimishe kuwa hakuna hao designer? Haya mambo hayahitaji haraka, wengine wapo huko mtaani si watumiaji wa jf huko umewakosa…!?
Acha kuwa na wenge boss, mwishowe utajikuta unapigwa!
we jamaa banaWakuu ndo kusema Designers wa UI/UX hakuna kabisa?????
Tanzania yangu 😭
Isn't JF the home for great thinkerswe jamaa bana
Ndo conclusion yako hii sio?Afu katukosea sana eti Tanzania, kwamba Jamiiforums ndo Tanzania nzima? Kama anataka kujua wataalam wapo au hawapo atoe matangazo kwenye mainstream media km Radio, TV na magazeti kisha aitishe usahili pale uwanja wa Mkapa, akikosa watu ndo arudi kulaumu humu.
Una uzoefu wa kutosha kutusemea Wabongo wote?Ingia Udemy jifunze au ajiri freelancer fiverr kama hauna muda. Bonge naipenda lakini wabongo si wa kutegemewa haswa kwenye deadlines
Seriously?Isn't JF the home for great thinkers
Isn't what the tagline states??Seriously?
Una uzoefu wa kutosha kuwatetea wabongo wote?Una uzoefu wa kutosha kutusemea Wabongo wote?