Nahitaji UI/UX designer wa wireframes

Nahitaji UI/UX designer wa wireframes

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
309
Habari wakuu?

Heri ya mwaka mpya.

Niende moja kwa moja kwenye mada,ni hivi ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza WIREFRAMES kisha azipeleke kwenye MOCKUPS halafu atengeneze CLICKABLE-PROTOTYPES.
Kama una uwezo na upo tayari njoo DM.

NB:
Sio lazima uwe umesomea, as long as unauwezo wa kufanya kazi hiyo.

samuel-student-wireframe---x----972-715x---.png
 
Kazi inafanyika, unahitaji iwe tayari baada ya muda gani? Maana changamoto umeme.
 
Wakuu ndo kusema Designers wa UI/UX hakuna kabisa?????
Tanzania yangu [emoji24]

Uzi si umeuleta jana tu mkuu? Wapo waliojitokeza huko juu, umewasiliana nao wakashindwa ndio uhitimishe kuwa hakuna hao designer? Haya mambo hayahitaji haraka, wengine wapo huko mtaani si watumiaji wa jf huko umewakosa…!?
Acha kuwa na wenge boss, mwishowe utajikuta unapigwa!
 
Afu katukosea sana eti Tanzania, kwamba Jamiiforums ndo Tanzania nzima? Kama anataka kujua wataalam wapo au hawapo atoe matangazo kwenye mainstream media km Radio, TV na magazeti kisha aitishe usahili pale uwanja wa Mkapa, akikosa watu ndo arudi kulaumu humu.
 
Ndo conclusion yako hii sio?
 
Back
Top Bottom