Nahitaji Usafiri wa IT kwenda Dodoma

Nahitaji Usafiri wa IT kwenda Dodoma

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30

Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00

Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
 
nenda highway utapata Lory au private; achana na IT
 
Binafsi nimeziona hizo IT zikipita kwenye barabara ya TANZAM tu! Ila kwa upande wa barabara ya Dodoma, kiukweli sijawahi.

By the way, ulitakiwa uende barabara kuu ukapande gari yoyote inayoenda Dodoma na kukufikisha kwa muda huo unaotaka. Achana na mambo ya kuchagua magari wakati una haraka. Hata kama ni trekta, wewe panda tu. Muhimu ufike Dodoma kabla ya hiyo saa 12 asubuhi.
 
Nataka kuondoka saa 3 usiku baada ya kufanya kazi zangu
Nenda Ubungo Kibo/Rombo panda mwendokasi zinazopita barabara ya Morogoro shukia Kibo ni kituo kinachofuata baada ya Ubungo Maji ukitokea mjini..ukishuka hapo uliza mtu yeyote stand ya IT utaelekezwa ni kwa mbele tu baada ya kituoni
 
Yaaap. afanye hivyo
 
upo sahihi mkuu nakualaga sana vichwa nikiwa na IT Dar-Tunduma
 
Binafsi nimeziona hizo IT zikipita kwenye barabara ya TANZAM tu! Ila kwa upande wa barabara ya Dodoma, kiukweli sijawahi.

By the way, ulitakiwa uende barabara kuu ukapande gari yoyote inayoenda Dodoma na kukufikisha kwa muda huo unaotaka. Achana na mambo ya kuchagua magari wakati una haraka. Hata kama ni trekta, wewe panda tu. Muhimu ufike Dodoma kabla ya hiyo saa 12 asubuhi.
Zipo za njia ya dom zinazoenda rwanda lakini kwa uchache mno
 
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
Ungepanda gari ya magazeti ingependeza zaidi 😛😛😛
 
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30

Nenda pale juu ubungo kibo unachagua tu, ila USIPANDE za magazeti mkuu!
 
Back
Top Bottom