Nenda Ubungo Kibo/Rombo panda mwendokasi zinazopita barabara ya Morogoro shukia Kibo ni kituo kinachofuata baada ya Ubungo Maji ukitokea mjini..ukishuka hapo uliza mtu yeyote stand ya IT utaelekezwa ni kwa mbele tu baada ya kituoniNataka kuondoka saa 3 usiku baada ya kufanya kazi zangu
Yaaap. afanye hivyoNenda Ubungo Kibo/Rombo panda mwendokasi zinazopita barabara ya Morogoro shukia Kibo ni kituo kinachofuata baada ya Ubungo Maji ukitokea mjini..ukishuka hapo uliza mtu yeyote stand ya IT utaelekezwa ni kwa mbele tu baada ya kituoni
upo sahihi mkuu nakualaga sana vichwa nikiwa na IT Dar-TundumaNenda Ubungo Kibo/Rombo panda mwendokasi zinazopita barabara ya Morogoro shukia Kibo ni kituo kinachofuata baada ya Ubungo Maji ukitokea mjini..ukishuka hapo uliza mtu yeyote stand ya IT utaelekezwa ni kwa mbele tu baada ya kituoni
Zipo za njia ya dom zinazoenda rwanda lakini kwa uchache mnoBinafsi nimeziona hizo IT zikipita kwenye barabara ya TANZAM tu! Ila kwa upande wa barabara ya Dodoma, kiukweli sijawahi.
By the way, ulitakiwa uende barabara kuu ukapande gari yoyote inayoenda Dodoma na kukufikisha kwa muda huo unaotaka. Achana na mambo ya kuchagua magari wakati una haraka. Hata kama ni trekta, wewe panda tu. Muhimu ufike Dodoma kabla ya hiyo saa 12 asubuhi.
Nenda Ubungo baruti Fasta utapata usafiriNahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
Dar tdm nauli bei ganiupo sahihi mkuu nakualaga sana vichwa nikiwa na IT Dar-Tunduma
Ungepanda gari ya magazeti ingependeza zaidi πππNahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
30k tuDar tdm nauli bei gani
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
Bila shaka wew ni mkurya maana mim naona unatoa amri tu.Nataka kuondoka saa 3 usiku baada ya kufanya kazi zangu
Sasa tofauti na bus la abiria iko wapi mkuu, ten tu?30k tu