Nahitaji Ushauri kuhusu kukodi fremu

Nahitaji Ushauri kuhusu kukodi fremu

Una wasiwasi mkuu,.nini kinakupelekea kukosa kuamini kile unachotaka kukifanya!?...ni kodi au ni kupata faida ndogo ama ni nini!?? Maana kama "uthubutu" ulishawahi kuthubutu kufanya hicho kitu, sasa shida ni nini mkuu!??
 
Kitakachokufelisha hapo sio ujuz wako wala kodi yako ya frem,kitakachokufelisha ni UOGA AMBAO UMEANZA KUJIVISHA kabla hata hujaanza kazi,maisha ni risk,biashara ni risk,kila unalofanya ni risk so unapoogopa wte tungekua kama ww naidhan maisha yangekua magumu zaid,


Kumbuka tu mwanzo hua mgumu kwa kila jambo,muhim zingatia moyo wko unasema nn kuhusu biashara hyo. Uzur unafanya kitu unachokipenda na kukifaham vzr,weka uoga kando ukikwama utakua umejifunza zaid kuliko kuacha kabsa.
 
Back
Top Bottom